DRC
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ilichaguliwa tena kuwa member wa AU
Jumatano, Februari 11, 2026, mjini Addis Ababa, kama mjumbe wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (PSC) kwa muhula wa miaka miwili, akiwa na kura 44 kati ya 48.