DRC

Goma shughuli za michezo zaanza baada ya muda mrefu kutokana na hali ya usalama

juni 09, 2025
Border
news image

Baadaa ya miezi kadhaa ya kutoka fanyika shughuli zote za michezo Mjini Goma ,hatimae shughuli hizo zimeanza pya tangu hii juma pili tarehe nane elfu mbili ishirini na tano.

Akizungumuza mbele ya umati wa watu katika uwanjwa wa kandanda wa Goma ( Stade de l,unite) Erasto Musanga amesema kuanzia sasa sasa michezo ya kandanda ineenza Rasmi katika uwanja wa Goma ,lengo kubwa ikiwa ni kuunganisha watu kwaakupiganisha ubaguzi kati ya watu.

Musanga ameongeza kwamba michezo ni muhimu katika maridhiano ya makabila kwani wakati wa michezo watu husahau alieko pembeni yake wote wakiangalia ushindi wa michezo nah ii ni muhimu kwa mkoa kama wa Kivu kaskazini ambako kulikuwa kumekosa uaminifu kati ya watu.kutoka na vita vya muda mrefu kati yao na serikali ya Kinshasa.

Juma pili hii watu wengi wlaifurika katika uwanja wa kandanda ambako wameaanzisha michezo ya (Tournoi de Laa Paix )yaani mechezo kwa ajili ya amani ambayo iataleta tena furaha kwa vijana na wapendelevu wa michezo hii ikiwa itasaidia sana watu wali ishi vita kujaribu kumaliza Stress mbali mbali.Michezo ambayo imeanza tarehe nani hadi tarehe kumi na tano.

AM/MTV News DRC