Akizungumuza na MTV OLINE ambayo ona yangaza kutoka eneo la uswahili mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ,Constan Same Bagalwa ,mwana Habari katika mji wa bunia asema ,wakaazi wa vijiji vya Lopa ,Nizi,Sulenyama na inga Bariere waengi wao wame lazimika kuhama avijiji vyao na kukimbia katika mji wa Bunia kuhufia maisha.
Hii kufatia tetesi kwamba wapiganaji wa CRP yake Thomas Lubanga wako karibu na mji wa Bunia mbako wajificha katika makaazi ya watu hasa kwenye vijiji.mkaazi mwengine asema taarifa hizo ni za uongo ila wameshangazwa kuona Serikali ya DRC kshirikiana na CODECO mabayo imekuwa ikihusika katika mashambulizi na vijiji na kambi za wakimbizi mkoani Ituri wilayani Djugu.
CODECO kwa upande wao wasema wataungana na jeshi la Conggo FARDC kupambana na CRP huku wapiganaji wakionekana na vazi za jeshi la UPDF baadhi yao ,wakaazi wakijiswali wapi wapiganaji hao walipata uniform za jeshi la Uganda.wakaazii wa Nyamamba wametoroka makaazi yao kutokana kwamba watu wengi huwawa wakati wa mashambulizi.
Waaakizungumuza kwa lugha ya mahali wapiganaji wa CODECO hasa makamanda wao wameonekana wakisema << musi ue raia ila tutana tafuta CRP>> Hii katika lugha ya mahali ,siku zilizo pita CODECO na makundi mengine waliweka makubalinao ya kuto pigana na kukukubali kujenga amani na usalama .mkoa wa Ituri ni mkoa unao hitaji amani kwani umeshuhudia machafuko kwa muda mrefu.