Akizungumuza na MTV mmoja wa kwaazi wasema watu zaidi ya mia moja wariporipotiwa kuuwawawa kwa mapanga na wengine kuzama maji katika muto luviru wakati wa shambulizi la watu wanao zaniwa kuwa wapiganaji kutoka kundi la ADF katika vijiji vya Angola ya kwanza na Angola ya pili mupakani mwa mwa mkoa wa Kivu kaskazini na TSHOPO wilaya ya lubero.
Taarifa ambazo bado hazija thiibitishwa za sema wappiganaji wanao dhaniwa kuwa ADF walishambulia vijiji kadhaa usiku wa jumapili kuamukia jumatatu tisa juni elfu mbili ishirini na tano majira ya saa tisa za usiku na kupelekea raia wa vijiji vipatikanavyo eneo ya uchimbaji wa midini kuanza kukimbia kwa ajili ya usalama wao.
Raia wengi walishindwa kujiokoa baada ya kuzingirwa na wapiganaji kwani eneo hilo limezungukwa upande mumoja na misitu upande mwengine na muto TAINA.
Hadi tukienda hwani msako bado waendelea katika misitu na vijiji kwakufahamu idadi kamili ya watu walio uwawaa .eneo hilo likiwa ndani ya misitu mikubwa Zaidi nae neo ambalo kulifikia ni ngumu.