DRC
Muwakilishi wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bintou Keita awasili Mjini Goma Mjini unao kuwa chini ya uongozi wa AFC/M23 .
juni 12, 2025
Ni saa nane saa za Goma ndippo helikopta ya Umoja wa mataifa imetua katika jengo la Umoja wa Mataifa kati kati mwa Mji wa Goma leo juni 12 2025
Umoja wa matifa yaani MONUSCO ina kikosi kikubwa Mjini Goma ambao walikuja DRC katika ulinzi wa mani na kutwangana na makundi yeenye silaha mashariki mwa Congo Kinshasa ila kwa sasa ukiwa sasa mikoni mwa waasi ambao umoja huo ulikuwa ukitwangana nao katika ushirikiano na serikali ya DRC.
Keita amewasili Goma baada ya zaidi ya miezi mitano sasa ,MONUSCO yaani tume ya Umoja wa Mataifa kwa sasa wengi wao wakitembea bila silaha.
MONUSCO imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya wananchi kushindwa kumaliza mgogoro na makundi ya waasi mashariki mwa DRC.