DRC

Rais wa Congo Felix Tshisekedi Tshilombo aomba wachimbaji madini kutoka mataifa ya kigeni kuwekeza nchini DRC .

juni 10, 2025
Border
news image

Akiwa katika Mji wa Lubumbashi mkoa wa Lualaba Rais waa Congo DRC Felix Tshisekedi asema kwa sasa amechoshwa kuona madini mengi yana bebwa na watu DRC bila wananchi kufaidika ,felix amesema kuna watu wengi wanao kuja DRC wakiwa hawana uwezo mwenge lakini wakiondoka DRC wakiwa ma bilionea baada ya kuchimba madini ya DRC .

Hii nikufatia malalamiko ya wananchi wa Congo hasa mikoa inayo zalisha madini ,mikoa ambayo hadi sasa haina maendeleo hasa kukiwa ukosefu wa shule nzuri,Hospitali,n ahata barabra laniki kukiwa uchimbaji mwenge wa madani na mali mengine ,wakaazi wa mikoa hiyo wakiishi kwa mateso makubwa.

Mikoa ya Katanga yote ina madini mengi sana lakini bado maendeleo ikiwa nyuma kuliko mali inayo bebwa na watu kutoka makambuni mbali mbali kutokana na mikataba kadhaa ambayo waliafikiana na wawekezaji hao katika secta ya madini ,Tshisekedi amesema lazima kupitia upya mikataba ya wachimbaji madini katika eneo lote la Katanga.

AM/MTV News DRC