DRC/Manguredjipa

Shirika la kiraia katika secta la Bapere laomba kamati ya usalama kijikita katika swala la usalama wa raia wa Manguredjipa .

AGUSTI 04, 2025
Border
news image

Djiapanda Ni muji muhimu ambao uanapokea ma mia ya wakaazi wanao kimbia viijiji vya pembezoni hasa wengi wao wakiwa wakulima na wafugaji na hata wachimba migodi waomba serikali kuhudumisha usalama na ulinzi wa raia kutokana na mashambulizi inayo tejelezwa na watu wanao dhaniwa kuwa ADF ambao kwa sasa washambuliz vijiji vingi wilayani Lubero .

Kagheni Samuel kiongozi wa Shirika la kiraia la secta ya Bapere alisema mili ya watu wa wili ilipatikana katika kata ya Kanyatsi kanyatsi karibu na hôteli na mwili mwingine katika muto lenda inayo tiririka kati kati mwa Manguredjipa wote wakifariki Dunia katika mazingira isio fahamika nay a kutatanisha .

Kagheni Samuel kutoka shirika za kiraia katika mji wa mangurudjipa aomba wakaazi wa mangurudjipa wilayani Lubero kuwa waangalifu na makini n ahata kuwachunguza watu wanao kaa eneo lao kwani sasa hali sio nzuri watu wakiishi wasiwasi kubwa kutokana na uwepo wa wapiganaji wa ADF katika misitu.

Utafahamu kwamba Manguredjipa ni mji ambao unahifadhi wakaazi wengi wanao kimbia vijiji vingi kama vya Kambau na sehemu nyingine wakihufia maisha kutokana na mashambulizi kutoka watu wanaao dhaniwa kuwa ADF .wakakazi wakiomba muungano wa jeshi la Uganda UPDF na FARDC ya Congo kuongeza juhudi Zaidi katika msako wa wapigaji hao ambao ni tishio kwa usalama wa wakaazi wa Beni na Lubero Kivu Kaskazini .

MTV1