DRC

Vijana wa Kongo wanalaani kutengwa kwao katika mipango ya amani.

JUNI 17, 2025
Border
news image

GY KIBIIRA NDOOLE kiongozi wa vijana Kivu Kaskazini asema iwapo vijana wata tengwa katika mchakato wa kutafuta amani wahusika wataambulia pa tupu yaani kuchoka Bure.

Kibira ameongeza kwamba kwa sasa vijana wametumiwa sana katika vita mashariki mwa Congo DRC ni wao wamekuwa wa kwanza kupoteza maiisha.

sabaabu kubwa ikiwa ukosefu wa ajira kwa vijana yaani ( KAZI ) imekuwa chanjo kubwa cha vijana kuhangaika na kudanganywa na watu wenye silaha na hata wanasiasa ambao wameweka watu katika Mgawanyiko wa baadhi ya familia kutoka na maslahi ya wanasiasa.

MTV1 Online