DRC/

Waasi wa AFC/M23 wajikutana katika vita vya maneno kuhusu ukiukwaji wa makubaliano ya Doha

AGUSTI 20, 2025
Border
news image

Serikali ya Congo DRC na waasi wa AFC/M23 wakabiliana kupitia vita vya maneno kuhusu ukiukwaji wa makubaliano kwenye uwanja wa mapigano Kivu Kusini ,M23 katika tangazo lake yasema serikali ya Kinshasa na Burundi imepanga kushambulia Ngome zote za M23 kimakusudi kutimia ndege ,silaha nzito na vifaa vingine ambavyo M23 inasema vimewekwa Burundi.

Serikali ya Kinshasa kwa upande wake katika tangazo lake la kijeshi wasema waasi wa M23 kuliko kurudi kwenye meza ya mazungumuzo wamekuwa wakishambulia kila siku ngome za jeshi kwenye bonde la Ruzizi,Pamoja na vijiji vingi pa Mwenga nae neo lingine wilayani walikale kutafuta kuchukuwa eneo nyingine kuhimu.

Ekenge mzemaji wa jeshi la Congo FARDC asema ,jeshi la Congo halitaendelea kuvumilia uchokozi wa M23 pamoja na vitisho vyake ,na kuwa serikali ya DRC ipo katika mazungumuzo Doha kwama njia moja ya kumaliza mzozo wa kuda mrefu wa DRC.

Katika makubaliano pande zote ziliafikana kusitisha mapigano ,na kubadilishana , wafungwa wakivita,hasa walio kamatwa wakati vita Pamoja na kuwaondolea hukumu viongozi waa AFC/M23 .

MTV1