DRC

Waasi wa M23 wakata kwamba hawata ondoka eneo zao zote japo mazungumuzo ya Doha

Julai 18, 2025
Border
news image

Akizungumuza na wakaazi wa Nyiragongo katika uwanja mdogo wa Don Bosco Ersato Musanga aomba wakaazi wa Goma nae neo zao zote wanazo dhibiti kukaaa kimia kwani hawataondoka eneo lote wana zibiti japo mazungumuzo ya Doha Qatar,Erasto ambae ni Gavana kwa sasa wa eneo linalo dhibitiwa naa M23 asema .

"hatuna sehemu nyingine ya kwenda ,tumezaliwa hapa nyumbani ni hapa ,sijui mutu akija ama akiota kwamba tutaenda sasa tutaenda wapi,na kufanya huko nini.sisi ni wa Congomani tuko nyumbani ,mimi sijui kwanini watu wa serikali ya Kinshasa kuendelea kudanganya watu kwamba sisi tutaondoka hiyo ni uongo,na waambia wakijaribu hata kutuchokoza tutakwenda hadi kalemi na Kisangani bila hata kusita kwani nguvu tunazo zote"

Akisema Erasto Musanga wakati wa hutuba yake kwa wakaazi wa nyiragongo katia uwanja mdogo wa Don Bosco Ngangi ambako w amia ya watu walifurika kuhudhuria mkutano wa hadharani uliio itishwa na mkuu wa Mkoa alie teuliwa na AFC/M23 .

ERASTON ameongeza kwamba kwa sasaa wanaingia katika miradi muhi muhimu ya kuleta maji wilayani Nyiragongo kuanzia kibumba ,na wanajaribu kuzungumuza na taifa Jirani la Rwanda kuwakubalia kuvusha maji hadi upande wa DRC eneo la Kibumba ,pamoja na hayo wameanzisha mradi mkubwa waa ujenzi wa barabara sake Nyabyondo kwa kurahisisha wakulima kuleta chakula yao mjini Goma.

Pamoja na hayo wakaazi wa Muja wasema bado hawaa pata usalama nae neo lao bado laendelea kuikaliwa na makundi ya wazalendo na wakulima wakishindwa hata kuelekea mashambani pa mutaho .wakaazi wasema eneo kubwa linalo kuwa chini ya Mbuga la Wanyama pori la Virunga linaikaliwa na makundi yenye Silaha hadi sasa.

M23 ikiomba waakaazi kuwa watulivu kwani katika wiki tatu watapata suluhisho la haraka kuhudumisha usalama na kukabiliana na makundi yenye silaha eneo husika la nyiragongo.

MTV1