Wakizungumuza na MTV 1 ONLINE wakaazi na watumiaji wa barabraba Goma Butembo na Goma -Rutshuru wapongeza hatua ya kuanza ujenzi na ukarabati wa barabara eneo la Mwalo karibu na mbuga la wanya pori la Virunga ,ikiwa ni Kivu Kaskazini.
Kazi ambazo zatekelezwa na serikali ya Kivu Kaskazini upande wa M23 katika ushirikina wa ICCN ikiwa ni walinda Mbuga la Vitunga ,eneo hili ni eneo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa shida kubwa kutokana na maji ya mvua inayo toka katika taifa la Rwandwa kwenye milima na kuingia DRC .Gavana wa Kivu Kaskazini Eraston Musanga nae Kiongozi wa wilayani ya Nyiragongo Kabasha walifanya ukaguzi waa barabara hii .
Gavana amelazimika kuingia katika mifereji kutazama namna kazi hizi za tekelezwa vilivyo na kambuni husika na kuhakikisha kazi hizi zina fanyika vizuri ,watumiajai wa barabara wengi wakipongeza hatua ambayo imechukuliwa na viongozi wa mkoa na kusikiliza malalamiko ya raia.
Baada ya ukaguzi gavana ametembelea hata hivyo Bomba la Maji ,bomba ambalo litasaidia maji katika eneo la Kibumba kaskazini mwa Mji wa Goma ,kibumba ikiwa eneo ambalo halina maji tangu miaka kadhaaa wakaazi wake wakitumia maji ya mvua mara kwa mara.iwapo maji haya yatafanikiwa wakaazi wa Kibumba na sehemu moja ya Nyiragongo huenda wakafanikiwa kuwa wa kwanza kupata maji safi.