Wengi wao wakiwa wanawake na Watoto wakimbizi wa Rwanda Zaidi walio kimbilia misitu ya DRCongo tangu mwaka tisini na nne wameamua kwa hiari kurudi nyumbani kwao wakishinikizwa na shirika la Umoja wa Mataifa UNHCR ,wengi wao wakitoka katika wilayani ya Masisi,Walikale,Rutshuru ,ambako walipata hifadhi baada ya kupotia hali ngumu ya kimaisha kwa muda mrefu wakihama hama.
Mmmoja wao alie kubali kuzungumuza na MTV ONLINE akiwa mjamzito na Watoto wa wili asema ( mimi niko hapa Rwanda hasa katika Mji wa Gisenyi ambapo tumeletwa na UHCR walitutoa poririni na wengine wetu wametoka Pinga,mimi hapa nimja mzito mume wangu alifariki Dunia wakati wa Maapigano ,aliniacha na mimba ,alikuwa akiniambia kwetu na kw ani Rwanda hivi naenda tafuta familia yangu na familia yake.)
Wengine bado ikiwa mara ya kwanza kufika katia taifa la Rwanda kwani wali zailiwa DRC ,ambako wazazi wao walikimbilia , wenhi wanao rudi wakiwa wanawake na Watoto wasema kwa sasa wanarudi kwao kwani maisha ya kuishi misituni kila siku wakikimbia imewachoshwa .
Kwa jumla wakiwa mia mbili saamanini na nne ambao watafanyiwa uchunguzo na baadae kurudi katika maisha ya kawaida.
Hii ikiwa mfululizo ya wakimbizi wa Rwanda na wappiganaji wa FDLR kurudishwa nyumbani kwao Rwanda kutoka Pori za DRC ambako wapatikana kwa muda mrefu ,wengi wao wakiwa chanjo cha Vita vya mara kwa mara mashariki mwaa Congo ,na kusababisha mzozo kati ya Rwanda na DRC.
Siku zilizo pita UNHCR na serikali ya DRC iliafikiana kushinikiza harakati za kuwarejesha nyumbani wakimbizi wa Rwanda walieko DRC na wale waa DRC walieko Rwanda.