RDC

Wakimbizi wa ndani nchini DRC waomba makundi yenye silaha na serikali kukaa kwenye meza na kumaliza tafauti zao kwa njia ya amani .

JUNI 20, 2025
Border
news image

Tarehe ishirini kila mwaka Dunia yaadhimisha siku ya wakimbizi ,mataifa mengi kwa sasa ikishuhudia wimbi la wakimbizi na wengine wakifariki kwa njaa na maisha magumu.Tifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yaani DRC ikiwa miongoni mwa mataifa ambayo wananchi wake washuhudia vita vya mara kwa mara na kuwa wakimbizi wa Ndani.

Idadi kubwa ya wakimbizi wa ndani ikiwa eneo la mashariki mwa Taifa la madini na mali mengi ya DRC ila wananchi wake wakiwa masikini ,wakimbizi wa ndani wakihitaji misaada ya kuomba serikali na waasi kumaliza vita ,maelefu ya watu wakiwa wamepoteza maisha na kuishi vibaya wakiwa wakimbizi wa ndani na wengine wakipata hifadhi katika mataifa Jirani hasa Uganda,Burundi na Tanzania kufatia machafuko ya hap ana Pale.

Machafuko ya hivi karibuni ilisabishwa na uasi wa M23 wakipambana na serikali ya Kinshasa kufatia kile wanacho sema kuto Heshimu mikataba ,uongozi mbaya na Rushwa ,mtunao ambayo imesababisha maafa mengi.eneo la Beni na Ituri waana vijiji wakiwa wakimbizi wa ndani kutokana na mashambulizi ya wapiganaji wanao dhaniwa kuwa ADF.

Hubert Masomeko mchambuzi wa maswala ya kiusalama maziwa Makuu asema mkataba huo ni muhimu zaidi kumaliza uhasama ulieko kati ya Rwanda na DRC kwani hii ya wachanyikisha wanainchi wa mataifa hayo mawili .

Masomeko anasema uhusiano kati ya Rwanda na DRC utaweza kupunguza tension kubwa ilieko maziwa makuu kwani vita vya Congo vya weza zagaa maziwa makuu na Africa mashariki .

Huku kukiwa wasi kuhusu ujio wa waasi waa AFC/M23 ambao nao wako katika mazungumuzo na serikali ya kinshasa Doha Qatar.

MTV1 Online