U.S

Zaidi ya wanajeshi 9,000 wamaliza mafunzo ya kijeshi huko Chanzu wilayani Rutshuru .

JULAI 02, 2025
Border
news image

Zaidi ya wanajeshi elfu tiza wengi wao wakiwa wanajeshi wa zamani wa FARDC waliotekwa wakati wa kuanguka kwa Goma Januari iliyopita wame maliza mafunzo baada ya kufunzwa na M23 .

Baadhi yao wamepitia mafunzo makali na maalumu kwa Sasa wakiwa tayari kupigana kwa awamu inayofuata ya wasema viongozi wa AFC/M23 kwenye ukurasa wao wa x.

Nwa wanukuuu (( Mpendwa Wakongo, kutumia muda wa miezi sita kwa mafunzo, kupanga upya, na kuimarisha wanaume wenye uzoefu tayari kunaonyesha uzito ambao AFC/M23 inaendesha pambano hili. Ujumbe uko wazi: mwisho wa utawala wa Tshilombo hauepukiki;)) wasema M23

M23 imesema askari hao ndio watatumiwa katika kupambana zaidi maeneo ambayo bado walikuwa hawaja zibiti ,askari hawa zaidi ya alfu tiza kuna vijana walio jiunga na M23 kwa hiari na askari jeshi wa FARDC walio tekwa wakati wa mapigano na wengine wakati wa Msako Mjini Goma.

MTV1 Online