DRC

Hali ya Utulivu ya shuhudiwa katika eneo la Tongo wilayani Rutshuru baada ya mapigano makali kati ya M23 na Wazalendo

MEI 06, 2025
Border
news image

Wakaazi walio kubali kuzungumuza na MTV1 ONLINE wasema mapigano imeshuhudiwa katika vijiji vya kabizo,Butare ,Buhambi, kumeshuhudiwa mapigano makali ,M23 ikisema imeafanikiwa kuwakamata baadhi ya wazalendo na wengi kuwawa na wazelndo kwa upande wao wakisema waliwashmbulia waasi wa M23 .

Taarifa lutoka wananchi zasema kuna wakaazi walio poteza maisha wakati wa mapigano hayo idadi yao kamili ikiwa haijulikane ,wambuti ama wabatwa wakiomba usalama wao eneo hilo na kushirikishwa katika Mazungumuzo yote ya kutafuta amani na usalama kwani ni miongni mwa watu wanao hathirika wakati wa mapigano.

AM/MTV News DRC