DRC

M23 yaongeza nguvu Zaidi za kijeshii

JUNI 10, 2025
Border
news image

Wanajeshi Zaidi ya elfu saba ( 7000) wamaliza mafunzo ya kijeshi katika kambi ya kijeshi ya Rumangabo kilometa Zaidi ya sabaini kaskazini mwa mji wa Goma Kivu Kaskazini.

Askari hao wengi ni askari jeshi walio kamatwa na wengine kujiripoti wakati M23 ilipo chukuwa mji waa Goma janawari lefu mwakani,na seheemu nyingine walaio kuwa wazalendo .

Askari hawa kwa sasa wamekuwa chini ya uongozi wa AFC yaani jeshi la M23 akisema Sultani Makenga mkuu kiongozi wa jeshi la M23 ,Sultani Makenga kamanda wa jeshi la M23 asema askari hawa watapelekwa sehemu ya mapigano kwa ajili ya kuondoa uongozii ambao asema ni uongozi mbaya yaani utawala wa serikali Ya Kinshasa.

Wengi wao wakiwa ni vijana kutoka eneo za Ituri,Kinshasa,na Mikoa nyingine wanapo zungumuza lingala ,lakini kwa sasa wamepewa Mafunzo mbali mbali ya kijeshi ikiwemo vile ideolojia,Corneil Nanga kiongozi wa AFC /M23 ameonya askari hao kuwa sio askari wakurudi nyuma wakati wa Vita bali kusonga mbele,na kazi yao kubwa kwa sasa nikuhakikisha wanasonga mbele Zaidi kugomboaa eneo nyingine zinazo kuwa chini ya utawala wa Felixi Tshiskedi.

M23 imesema leo hii kwamba askari wengine zaiidi ya Elfu kumi na mbili (12000) nao wataanza mafunzo ya kijeshi ,wengi wao wakiwa wale wanao jiungaa binafsi na M23 ,wengi wao kutoka makundi ya wazleendo na walio kuwa askari wa FARDC wanao kamatwa wakati wa msako hapa na pale na kwenye uwanja wa mapigano,hii ikiwapa nguvu Zaidi M23 .

MTV1 Online