Butembo/RDC
mashirika ya kiraia katika Mji wa Butembo yaomba Muungano wa jeshi la Uganda UPDF na jeshi la Congo FARDC kutumia njia ya mazungumuzo na vijana wazalendo ama mai mai kuliko kuwapiga kijeshi
JUNI 26, 2025
Mathe Sanane ameambia MTV kwamba kutumia silaha kwa vijana wazalendo yaweza kuwa na vinyume kwa operesheni za kijeshi dhidi ya M23 kwani vijana hao ndio wamekuwa wakiunga mkono jeshi la serikali.
Tanga asubui milio ya silaha yasikika magharibi mwa mji wa Butembo ambako jeshi la pambana na kundi moja lililo kataa kujiunga na wapiganaji wazalendo kundi ambalo lilijitenga .
wakaazi wa vijiji vya mabambi na vuyinga wakishuhudia hofu kutokana na hatua hiyo ambayo yaweza kuwa hatarishi kwa vijana .