DRC

UN yaomba uchunguzi kuhusu mfanya kazi wake alie uliwa Mjini Goma kwakushambuliwa

MACHI 18, 2026
Border
news image

Umoja wa Matufa UN waomba uchunghuzi usio egemea upande wowote kufanyika kuhusu mashambulizi ya raia wa Ufarasa na mkuu wa UNICEF alie fariki Dunia kwa kuuliwa kwa Drone ilio shambulia makaazi yake mjini Goma. Buruno lemarquis amesema kwa sasa wameomba uchunguzi wa kina.

Amesema hayo akiwa kiwa Mjini Goma Kivu Kaaksaizini eneo lonalo dhibitiwa na AFC/M23 Ambako wamkutana na viongozi wa AFC/M23 hasa Conrneil Nanga nae Bertran Bisimwa.

Hii ikiwa hatua kubwa katika kutaka kusaidia watu wanao hitaji misaada nchini kutokana na vita vya muda mrefu mashariki mwa Congo ambako wakaazi wengi walio kimbia makaazi yao wamesha rudi nyumbani na kwenye vijiji vyao wakihitaji msaada.

Lemarquis ni mkuu wa umoja wa mataifa ahusukae na maswala ya misaada na operesheni za kimisaada.

MTV1 Online