Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imejiunga na mataifa mengine kusherekea siku ya wafanya kazi Duniani, huku wafanya kazi wa serikali wakilalamikia hali mbaya ya kiutu na malipo Duni.
Taarifa Zaidi na mgomo wa polisi katika Mji wa Uvira Kivu Kusini
MEI 01, 2025
| Germaine Hassan Kyahwere
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio