Radio MTV1 Online
JULAI 01, 2025
07:00 Jioni
Makubaliano kati ya DRC na Rwanda kupokelewa na wananchi
Juni 30, 2025
07:00 Jioni
leo ni tarehe 30 siku muhimu kwa wa kaazi ya kongo.
Juni 27, 2025
07:00 Jioni
Rwanda na DRC ya kubali ku weka ma kubaliyano ya amani katika mataifa yao ma wili.
Juni 26, 2025
07:00 Jioni
Kalundu na muhangi magharibi mwa Mji wa kibaishara wa Butembo Kivu Kaskazini ambako kumesikika milio ya risaisi leo hii.
Juni 25, 2025
07:00 Jioni
Tom Fletcher, Mratibu wa Misaada ya Dharura, UN amewasili Goma leo hii.Mratibu huyu ata tembelea eneo nyingi ikiwemo Shasha,Minova na bwerema pamoja na nyiragongo ambako amekuja kutasmini hali ya kiutu
Juni 24, 2025
07:00 Jioni
Ukame mkali waripotiwa katika vijiji vya kakwa eneo la Aru mpkani mwa DRC na Soudan Kusini
Juni 23, 2025
07:00 Jioni
Lubero Kivu Kaskazini, mashirika yenyi kutetea haki za biaadamu yaomba serikali ya Jamhuri ya kidemokraisa ya Congo kuwakamata na kuwapa malipizi watu wote walio husika katika ubakaji wa wanawake katika Vijiji Mbali mbali wilayani Lubero eneo linalo dhibitiwa na serikali
Juni 20, 2025
07:00 Jioni
Tarehe ishirini Juni kila mwaka ni siku ya wakimbizi Duniani DRC ikiwa taifa linalo shuhudia wakimbizi wa ndani kama vile wa kikanda.
Juni 19, 2025
07:00 Jioni
Waziri wa sheriya nchini DRC,CONSTANT MUTAMBA ajiuzulu tangu jiyoni ya jumatano 18 juni 2025
Juni 18, 2025
07:00 Jioni
Hali ya rudi Tulivu katika Mji wa Bukavu Kivu Kusini baada ya mappigano na mashambulizi ya wapiganaji wazalendo kushambulia ngome nyingi za waasi waa AFC/M23 ambao wame weka serikali yao kivu Kusini na Kaskazini.
Juni 17, 2025
07:00 Jioni
Vijana wa Kongo wanalaani kutengwa kwao katika mipango ya amani.
Juni 16, 2025
07:00 Jioni
KENYA IMEJITENGA N AMADAI YA KUHUSIKA KATIKA KUCHOCHEA VITA NCHINI SUDA.
Juni 13, 2025
07:00 Jioni
Mjini Goma malumbano na hoja ya endeleya kati ya Waasi wa AFC/M23 na MONUSCO huku mikutano ya mabishano ikiendeleya kuhusu uwepo wa MONUSCO katika eneo linalo sibitiwa na AFC/M23
Juni 12, 2025
07:00 Jioni
Muwakilishi wa Umoja wa Matifa MONUSCO DRC Bintou Keita awasili Mjini Goma eneo linalo dhibitiwa naa M23
Juni 11, 2025
07:00 Jioni
Kivu kusini, mashirika ya kiraia waonya rais mustaafu Joseph Kabila kuondoka Mjini Goma.
Juni 10, 2025
07:00 Jioni
Rais wa Congo Felix Tshisekedi Tshilombo aomba wachimbaji madini kutoka mataifa ya kigeni kuwekeza nchini DRC .
Juni 09, 2025
07:00 Jioni
Kanisa katholiki nchini DRC latangaza kuwa FLORIBRT BWANA CHUI makaazi wa Goma alie uwawa kwa kukataa Rushwa atatangazwa kuwa mwenye heri mwazi huu
Juni 06, 2025
07:00 Jioni
Waislma washerekea EID nchini DRC hasa Mjini Goma eneo linalo dhibitiwa na waasi wa M23 ,waasi wakiomba waislam kuchangia amani na usalama
Juni 05, 2025
07:00 Jioni
Raia wa kabila la wambuti nchini DRC waomba serikali ya Kinshasa yake Felix Tshisekedi kushirikishwa katika michakato mbali mbali ya amani na usalama pamoja na maendeleo nchini DRC.
Juni 04, 2025
07:00 Jioni
Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC yapiga marufuku Habari zozote zina husu Rais Mustaafu Joseph Kabila na Chama Chake cha PPRD swala linalo zua wasiwasi na maswali mengi
Juni 03, 2025
07:00 Jioni
Serikali ya Tanzania imeahidi kuendelea kuboresha miundombinu ya usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo katika Ziwa Tanganyika ikiwemo ujenzi wa meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 3500.
Juni 02, 2025
07:00 Jioni
Taifa lote la DRC limeshuhudia mtihani mkubwa sana waa serikali ,mtihani inayo washirikisha wanafunzi wa somo la sita wanao jiandaa kwenda Univasiity iwapo watafaulu mitihahi hiyo
Mei 30, 2025
07:00 Jioni
Rais Joseph Kabila aendelea na na juhudi za kuwapokea watu mjini Goma leo ikiwa viongozi wa kijadi na wafanya biashara
Mei 29, 2025
07:00 Jioni
Joseph Kabila azungumuza na watu Mjini Goma haya na maengine mengi sikiliza MTV ONLINE
Mei 28, 2025
07:00 Jioni
Wakaazi walalamikia wazalendo pa Bandulu Kivu Kaskazini hayo na msako kuendelea Goma eneo la M23
Mei 27, 2025
07:00 Jioni
Wakaazi wa mji wa Goma na sehemu zingine wamuomba Joseph Kabila kuwa msuluhisho wa mzozo kati ya serikali ya Kinshasa na M23
Mei 26, 2025
07:00 Jioni
Rais mustafu Joseph kabila awasili Mjini Goma eneo la waasi wa M23
Mei 23, 2025
07:00 Jioni
Dunia Kusherehekea Siku ya kupambana naugojwa wa Fistula, ugonjwa unaowatatiza wanawake
Mei 22, 2025
07:00 Jioni
Wakimbizi wa Rwanda mia sita na kumi warudi nyumbani baada ya kushikinizwa na M23 na UNHCR hayo na mengine mengi fata MTV
Mei 21, 2025
07:00 Jioni
Wafuasi wa joseph kabila na wakaazi wa Katanga waomba Rais Félix Tshisekedi kuwa makini katika mchakato unao lenga kumuondolea kinga Joseph Kabila
Mei 16, 2025
07:00 Jioni
Wakaazi wa mji wa Mangurujipa na ndjiapanda waingia katika siku ya pili ya mgomo wakuomba usalama eneo lao ambalo laandamwa na ADF
Mei 15, 2025
07:00 Jioni
Wakaazi wa mji wa Mangurujipa waomba kubalishwa viongozi wa kijeshi,pamoja na Eneo la Bukumu Nyiragongo kupata kiongozi mpya.
Mei 14, 2025
07:00 Jioni
Rais Wa Taifa La Finland Alexander Stubb Ameanza Rasmi Ziara Yake Ya Nchini Kenya, Huku Pamoja Na Mwenyeji Wake Rais William Ruto, Wakijadili Na Kutia Saini Mikataba Ya Ushirikiano
Mei 13, 2025
07:00 Jioni
Msako mkali waendelea mjini Goma, Kivu Kaskazini, huku watu wakiendelea kukamatwa, hasa jeshi la Congo FARDC, polisi, na raia wa Rwanda walioingia kimagendo DRC
Mei 09, 2025
07:00 Jioni
Wanajeshi zaidi ya mia moja, wameachiliwa kutoka gerza moja mjini Bunia baada ya lupewa msamaha na Rais wa Congo Felix Tshisekedi
Mei 08, 2025
07:00 Jioni
Wakazi wa mji wa Goma waomba waasi wa M23 kuwapa usalama kwanini sasa wamechoshwa na hali ya risasi kila siku
Mei 07, 2025
07:00 Jioni
Baadhi ya wanasiasa nchini DRC waomba mikoa kujitemea kwa ajili ya maendeleo ilio kwama kwa muda mrefu
Mei 06, 2025
07:00 Jioni
Jeshi la Uganda UPDF laingia katika baadhi ya vijiji wilayani Djugu mkoani Ituri baada ya kuwapa Pigo wapiganaji wake Thomas Lubanga
Mei 06, 2025
07:00 Jioni
Vijiji vya Lunyasenge wilayani Lubero vya chukuliwa na waasi wa M23 ,hayo na mengine mengi fata MTV1 ONLINE
Mei 05, 2025
07:00 Jioni
Vijiji vya Lunyasenge wilayani Lubero vya chukuliwa na waasi wa M23 ,hayo na mengine mengi fata MTV1 ONLINE
Mei 02, 2025
07:00 Jioni
DRC/ Wakaazi wa mji wa sake ulio shuhudia mapiggano makubwa kwa Zaidi ya miezi mitano waomba uongozi wa waasi kuwapa nafasi ya kujijenga upya kimaisha
Mei 01, 2025
07:00 Jioni
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imejiunga na mataifa mengine kusherekea siku ya wafanya kazi Duniani ,huku wafanya kazi wa serikali wakilalamikia hali mbaya ya kiutu na malipo Duni.
Taarifa Zaidi na mgomo wa polisi katika Mji wa Uvira Kivu Kusini
Aprili 30, 2025
07:00 Jioni
Matangazo ya leo siku ya Jumatano kutoka MTV1 Online
Aprili 29, 2025
07:00 Jioni
Katika matangazo yetu leo nikwamba waasi na serikali ya DRC waendelea kutwangana kivu Kusini mashariki mwa Congo DRC
Aprili 25, 2025
07:00 Jioni
Katika matangazo ya leo tunamulika mazungumuzo kati ya M23 na serikali ya Kinshasa
Aprili 23, 2025
07:00 Jioni
Jeshi la serikali ya Congo FARDC laomba wapiganaji wote kusalimisha silaha ikiwemo M23 na makundi mengine yenye silaha hayo na mengine mengi jiunge na MTV ONLINE
Aprili 22, 2025
07:00 Jioni
Katika matangazo ya leo nikwamba mapigano makali yaendelea kati ya waasi wa AFC/M23 na makundi ya wapiganaji wazalendo Kivu kusini na Kaskazini mashariki mwa Congo.hayo na mengine mengi fata MTV1 ONLINE
Aprili 21, 2025
07:00 Jioni
Katika matangazo yetu leo juma tatu ni Kifo cha BABA mtakatifu mkuu wa kanisa Katholika huku raia wa Congo wakiwa na mtazamo tafauti
Aprili 15, 2025
07:00 Jioni
Katika matangazo ya leo nikwamba, serikali ya Congo DRC yaomba wapiganaji wazalendo kusitisha mapigano inayo lenga kushambulia ngome za waasi wa M23 mashariki mwa Congo.hayo na mengine mengi ungana na MTV ONLINE
Aprili 14, 2025
07:00 Jioni
Mapiganao makali yaripotiwa Mkoani Ituri kaskazini mashariki mwa Congo DRC kati ya jeshi la serikali na kundi jipya la waasi .hayo na mengine mengi fata MTV ONLINE
Aprili 11, 2025
07:00 Jioni
Wafua wa Rais Mustaafu Joseph Kabila wapongeza hatua alio kama Joseph kurudi DRC kwa njianyoyote, hayo pamoja na operesheni za kijeshi dhidi ya UPDF fata MTV 1 ONLINE
Aprili 09, 2025
07:00 Jioni
Wafungwa zaidi ya miamoja waachiliwa Mjini Beni baada ya kupewa msamaha ya Rais wa DRC Felix Tshiskedi kwa taarifa zaidi fata MTV ONLINE
Aprili 07, 2025
07:00 Jioni
Watu zaiidi ya thelathini wafariki Dunia katika jana la Mvua kali Mjini Kinshasa ambako mafuriko imesababisha maafa makubwa katika mitaa mbali mbali
Aprili 04, 2025
07:00 Jioni
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kufanya maboresho zaidi ya mazingira ya biashara na uwekezaji ili kuifanya Tanzania iendelee kuwa sehemu salama zaidi ya uwekezaji.
Machi 27, 2025
07:00 Jioni
Ndege isio kuwa na rubani ya shambulia uwanja wa ndege wa walikale unao dhibitiwa na M23 Kivu Kaskazini mashariki mwa Congo DRC
Machi 26, 2025
07:00 Jioni
Vyama vya upinzani vina muunga mkono Rais wa zamani vyasema havita shiriki serikali ya muungano inayo andaliwa nchini DRC
Machi 25, 2025
07:00 Jioni
Mwanamziki alie uwawa Mjini Goma Delkat Idengo aziwka na umati wa watu Mjini Beni Kivu Kaskazini
Machi 24, 2025
07:00 Jioni
Mkuu wa jeshi la Uganda atishia kumakamata Gavana wa Ituri hayo na mengine mengi fata MTV ONLINE
Machi 20, 2025
07:00 Jioni
Mach 20 2025 matangazo ya MTV ONLINE
Machi 19, 2025
07:00 Jioni
Katika matangazo yetu ya leo nikwamba Rais wa DRC Felix Tshisekedi na Paul Kagame wa Rwanda wakubaliana kusitisha mapigano mashariki mwa Congo.
Machi 17, 2025
07:00 Jioni
Rais Félix Tshisekedi azungumza na Bw. Ronny Jackson, Mjumbe Maalum wa Rais wa Marekani Donald Trump na mjumbe wa Bunge la Marekani Juma pili Mjini Kinshasa
Machi 12, 2025
07:00 Jioni
Muungano ya wanawake huko mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo katika mji wa BENI kivu kaskazini yaomba jumuiya ya mataifa ku changia katita utafiti wa amani na usalama Nchi nakuacha unafiki katika mzozo kati ya serekali ya KINSHASA na jamhuri ya RWANDA
Februari 27, 2025
07:00 Jioni
Watu zaidi ya kumi wauawa katika shambulizi kali la Bomu baada ya mhadhara wa kiongozi wa waasi wa M23 jijini Bukavu.
Februari 19, 2025
07:00 Jioni
Wanawake wakimbizi walio pata ifadhi katika mji mdogo wa LUBERO Kivu Kaskazini walalamikia hali duni ya maisha wanao pitia tangu kuripuka kwa vita.
Februari 18, 2025
07:00 Jioni
Wanawake wanakabiliana na tatizo la FISTULA ambayo insababishwa na tiba mbaya wakati wa kujifungua na wengi kutokana na ubakaji ama kushambuliwa kwa risasi na watu wenye silaha. Baadhi ya wanawake hao wamebahatika kwa kupewa tiba ya bure na hospitali ya Heal Africa Mjini Goma.
Februari 17, 2025
07:00 Jioni
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye, amekemea uingizwaji wa bidhaa nchini kwa njia za magendo akisema hilo linaisababishia serikali upotevu wa mapato na kuathiri pakubwa viwanda vya ndani.
Februari 12, 2025
07:00 Jioni
Hali ya kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Ikiendelea kua ngumu siku baada ya siku, raïs mustaafu Joseph Kabila kupitia chama chake PPRD cha pinga wazo lolote la mazungumzo. Ferdinand Kambere naibu katibu mtendaji wa chamba hicho ameimbia vyombo vya habari nchini DRC.
Februari 11, 2025
07:00 Jioni
Nchini kenya watu nne wa tekwa nyara na watu wenye silaha wanao dhaniwa kua ni wakundi la alshabab.
Hii yatokea wakatika raïs William RUTO wa nchi yio akiwa ziarani.
Februari 07, 2025
07:00 Jioni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI nchini tanzania Mohamed Mchengerwa amemtaka Katibu Mkuu TAMISEMI kufanya mapitio ya Sheria ya kuanzishwa kwa makao makuu ya nchi, iingie bungeni kabla ya kuvunjwa kwa Bunge mwaka huu kwa kuwa bado haijapelekwa bungeni.
Februari 05, 2025
07:00 Jioni
Umoja wa Matifa watangaza kuwa watu zaidi ya elfu tatu walipoteza maisha kwakupigwa risasi Mjini Goma na uchunguzi bado ukiendelea
Februari 04, 2025
07:00 Jioni
Mashirika ya kiraia na asasi zisizo za kiserikali mashariki mwa DRC yasema kutokuona mabadiliko yoyote tangu yamefanyika marekebisho ya viongozi wa kijeshi katika ngazi zote uku waasi wakizidi kuzibiti miji muimu Kivu kaskazini na kusini.
Februari 03, 2025
07:00 Jioni
Raia wa mji wa Beni waandamana leo hii january 3,2025 kwaku pinga uvamizi wa jeshi la RWANDA na washirika wake wa M23. Hii ni baada ya mji wa Goma mji mkuu wa mkoa wa KIVU KASKAZINI kuangu mikononi mwa jeshi lwa rwanda RDF na waasi wa M23.
Januari 28, 2025
07:00 Jioni
Raia wa Mjini wa KINSHASA mji mkuu ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo waliandamana hii jumanne january 28,2025 kuonesha niya yao yakuunga mkono jeshi la CONGO FARDC linalo kabiliana na jeshi la RWANDA mjini goma,huku ekulu ya balozi wa ufaransa,rwanda,Ubeljiji,marekana na Uganda zikichomwa moto.
Januari 23, 2025
07:00 Jioni
Jeshi la Congo SADC na KIKOSI cha Umoja wa Matifa MONUSCO vimelazimika kutumia silaha nzito nzito na kuweka ulinzi mkali kwenye maeneo kadhaa kwa ajili ya ulinzi wa Mji wag Goma amba leo hii umetishiwa na waasi wa M23 ambao walichukuwa mji wa sake kwa saa za asubui na kembi ya kikosi cha SADC kilicheko Sake magharibi mwa mji wa Goma .
Januari 22, 2025
07:00 Jioni
Wasiwasi yaendelea kudhidi katika maeneo tofauti mkoani kivu Kaskazini na kusini hasa katika Miji ya Goma Na Bukavu baada ya waasi M23 kuudhibiti mji mdogo wa MINOVA; gavana wa kivu Kaskazini meja général PITER CIRIMWAMI aomba raia wa GOMA kutulia kwani serekali ya KINSHASA imechukua mikakati waku linda mji huo na raia.
Januari 16, 2025
07:00 Jioni
Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ya adhimisha miaka 24 tangu auliwe raïs LAURENT DESIRE KABILA katika ekulu ya Urais jijini KINSHASA munamo january 16,2001.
Wananchi wa DRC waadhimisha kumbukumbu hio katika uzuni wakati pale rais Laurent Désiré Kabila alikua rais wa kwanza alie onekana kutumika kwa maslaha ya wa congo na maendeleo ya taifa lao. Laurent Désiré Kabila aliingia madarakani munamo mei 17,1997 baada yaku mukimbiza rais aliye kua na sifa ya udikteta barani afrika MOBUTU SESESEKO wazabanga hapo mbeleni rais wa jamhuri ya ZAÏRE.
Januari 15, 2025
07:00 Jioni
Jumuiya ya kikabila jimboni Kivu Kaskazini yaomba raia kuunga mkono juhudi za Jeshi la Congo FARDC na wapiganaji Wazalendo
Januari 09, 2025
07:00 Jioni
Serikali za Kenya na Uganda zimeanzisha mpango wa pamoja kutatua masuala ya mipaka ili kuimarisha ushirikiano katika shughuli za mipakani na kukomesha usafirishaji wa silaha haramu, uhamiaji haramu na mizozo ya maliasili miongoni mwa jamii zinazoishi karibu na mipaka.
Januari 08, 2025
07:00 Jioni
Jeshi la Congo DRC likishirikiana na wapiganaji Wazalendo wamefanikiwa kuwafurusha waasi wa M23 wanao pata msaada kutoka Jeshi la Rwanda tangu asubbui ya leo juma tano janwari 2025.