Beni Kivu Kaskazini kume teuliwa kamanda mpya generali ,Mugisha Muleke Joseph ambae ni kamanda mpya wa operesheni za kijeshi kivu Kaskazini ,operesheni sokola ya kwanza wakaazi wakiomba kama huyu kuwajibike na kuwapa usalama .
JULIA 17, 2025
| Thomson Udji Batangalwa
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio