Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameitaka Tume ya taifa ya mipango kuimarisha mifumo ya tathimini na ufuatiliaji ili kuhakikisha inazingatia mshikamano wa ngazi zote ikiwemo sekta za umma na binafsi.
JULIA 18, 2025
| Jean paul
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio