waa Kristu wa kanisa katolika Mjini Goma wafanya misa ya kwanza ya kumtambua Floribert Bwana Chui kama mwenye heri ,hii ikiwa baada ya uongozi wa kanisa hilo kumtambua huko Roma mwezi ulio pita ,Willy Ngumbi Ngengele ni kiongozi wa kanisaa la katolika Goma Kivu Kaskazini
JULIA 08, 2025
| Tryphone Odace
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio