DRC
Serikali ya Kinshasa na waasi wa AFC/M23 wageuka washirika wa amani na usalama
Baada ya kukutana Doha Qatar ,serikali ya jamhuri ya kidemokrasita ya Congo na waasi wa M23 /AFC wakubaliana kwa sasa kuingia katika mchakato wa kutafuta amani na usalama mashariki mwa Congo na maziwa makuu ambako kumeshuhudiwa mapigano kwa muda mrefu ,mapiggano ilio sababisha watu kuhama makaazi yao na kuwa wakimbizi wa ndani